Gavana wa Kilifi azindua bodi za manispaa

  • | KBC Video
    25 views

    Gavana wa Kilifi Gideon Mung’aro amezindua bodi mpya za manispaa ili kuimarisha utoaji huduma katika manispaa zinazopanuka kwa kasi za Mariakani, Mtwapa na Watamu.Hafla ya kuapishwa iliyofanyika katika afisi za kaunti, iliashiria hatua muhimu katika kuimarisha utawala wa mashinani na kushughulikia mahitaji ya kipekee ya maendeleo ya miji hiyo mitatu. Gavana Mung’aro alitoa wito kwa bodi za manispaa na kamati ya ardhi ya kaunti kushirikiana, akisisitiza umuhimu wa uwazi, ushirikishwaji na uwajibikaji katika kutimiza majukumu yao.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive