Gavana wa Marsabit Mohamud Ali awataka vijana kumpa Rais Ruto muda kutekeleza mabadaliko

  • | NTV Video
    347 views

    Gavana wa kaunti ya Marsabit Mohamud Ali amewataka vijana nchini kutuliza joto la mandamano ili kumpa Rais William Ruto muda kutekeleza mabadaliko ndani ya serikali yake. kulingana na gavana huyo kuendelea kwa mandamano hayo kumeathiri huduma mbalimbali za umma huku akiitaka serikali kusikiliza sauti ya wakenya. gavana huyo alizungumza haya wakati wa ufunguzi wa zahanati ya Loyangalani Marsabit. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya