Gavana wa Meru Eric Mutuma ataka uchunguzi kuhusu visa vya wizi wa kahawa kukamilishwa

  • | Citizen TV
    143 views

    Gavana wa Meru Isaac Mutuma ameeleza kutamaushwa kwake na ongezeko na wizi wa kahawa pamoja na mauaji yanayotokana na wizi wa kahawa kwenye viwada, . Tangu mwaka wa 2020 bawabu zaidi ya10 Wameuawa Meru huku Maelfu ya Magunia ya kahawa yakiibwa ila hakuna yeyote amefikishwa kotini kwa maovu hayo. gavana Mutuma ameamuru idara ya viwada kwenye Serikali yake kuchukua hatua za kisheria na kinidhamu kwa wenye viwanda wanaokiuka sheria za ulinzi wa kahawa na kuchangia Maovu hayo, huku akiagiza idara ya upelelezi, Polisi na Kamishna wa Meru kuhakikisha wanafanya uchunguzi wa kina na kuwakamata wezi wa kahawa .