Je, Bobi Wine atamuangusha Rais Museveni?

  • | BBC Swahili
    1,779 views
    Mwanamuziki wa Uganda aliyegeuka kuwa kiongozi wa upinzani Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine anasema bado ana umuhimu kwa vijana wa Uganda, huku akiapa kusimama tena dhidi ya Rais Yoweri Museveni katika uchaguzi wa urais mwaka ujao.