Gavana wa Uasin Gishu na Seneta mahakamani kwa mashtaka ya ubadhirifu wa pesa wa elimu ya Sh 1bn

  • | NTV Video
    294 views

    Gavana wa ya Kaunti ya Uasin Gishu Jonathan Bii, Naibu Gavana anayeondoka John Barorot, msimamizi wa sheria wa kaunti hiyo anayeondoka Stephen Lel na Katibu wa Kaunti Edwin Bet leo hii walifika mbele ya Hakimu Mkuu Peter Ndege mjini Nakuru katika kesi ambapo Seneta wa Uasin Gishu na maafisa wawili wa Kaunti wanakabiliwa na mashtaka ya ubadhirifu wa SHILINGI 1 bilioni pesa za wakfuu Wa masomo ya Finland zilizokusudiwa kuwafadhili wanafunzi katika masomo yao .

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya