Gharama za kutunza mbwa, paka Nigeria zapanda

  • | BBC Swahili
    533 views
    'Sioni tofauti kati yangu kama mama ninayeishi na mbwa kama mtoto wangu na mwenye mtoto wa kawaida' Wanigeria wanaoishi na wanayama wa kufugwa majumbani sasa wanafanya maamuzi magumu ili kukabiliana na kupanda kwa gharama ya maisha nchini Nigeria. Kumudu chakula cha wanyama hao imekuwa gharama kwao hali inayosababisha baadhi yao kuwatelekeza barabarani au kwenye makazi huku wengine wakiwapeleka katika vituo vya kuasili wanyama hao. #bbcswahili #niogera #wanyama Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw