Gitahi amezikwa nyumbani kwake Maanzoni, Machakos

  • | Citizen TV
    1,522 views

    Kanali mstaafu James Gitahi amepumzishwa katika hafla ya mazishi iliyofanyika nyumbani kwake Maanzoni, Kaunti ya Machakos