Glen Otieno afunga mabao tatu ya West Pokot katika kombe la kitaifa la Talanta Hela

  • | Citizen TV
    621 views

    Timu ya kandanda ya West Pokot imeiadhibu timu ya Kirinyaga na kichapo cha mabao 4-1 na kufuzu kwa awamu ya robo fainali ya kombe la kitaifa la talanta hela katika uwanja wa kitaifa wa Nyayo.