Skip to main content
Skip to main content

Gor Mahia yaibua matumaini baada ya kushinda Sofapaka 2-0

  • | KTN News
    71 views
    Duration: 1:30
    #ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews 🔴 LIVE: KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond. Gor Mahia wanatarajia kudumisha msururu wao wa ushindi katika Ligi Kuu ya SportPesa wakati watakapokabiliana na KCB Jumapili. Baada ya kuanza kampeni kwa kugongwa bao 1-0 na Bidco United, Gor Mahia waliweza kujikomboa kwa kushinda Sofapaka 2-0, hatua ambayo imeongeza morali na matumaini ya kushika nafasi za juu katika msimu huu. Mechi ya Jumapili itakuwa kipimo cha uwezo wao kudumisha ushindi na kuendelea kupanda jedwali la Ligi Kuu. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ktnnewskenya Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews