Gwiji Wa Mpira Ya Voliboli Nchini Kenya Janet Wanja Afariki

  • | TV 47
    572 views

    Gwiji Wa Mpira Ya Voliboli Nchini Kenya Janet Wanja Afariki

    Ni siku nyingine tena ya huzuni kwa wanaspoti baada ya gwiji wa voliboli wa Kenya Janet Wanja kuaga dunia baada ya kuugua saratani ya kibofu cha nyongo.

    Wanja aliugua agosti muda mfupi baada ya kurejea kutoka katika michezo ya olimpiki ya Paris, ambako alihudumu kama mkufunzi wa mazoezi ya viungo wa Malkia Strikers.

    #TV47Matukio #Christmas2024

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __