Hafla ya utamaduni wa wapokot yafanyika Kapenguria

  • | Citizen TV
    632 views

    Hafla ya kipekee inayochanganya ulimbwende, utamaduni, na historia imefanyika katika uga wa Chelang’a mjini Kapenguria. Vipusa wa Pokot Magharibi wamejitokeza si kwa urembo tu, bali pia kuonyesha fahari ya mila na desturi zao katika mashindano ya kiutamaduni . Na Kama anavyoarifu Collins Shitiabayi, wazee pia walikuwepo katika nyimbo za kitamaduni na kutoa wosia wa maadili .