31 Oct 2025 1:14 pm | Citizen TV 989 views Duration: 1:36 Hakimu Mkuu wa Mahakama ya Tigania James Macharia, Kaunti ya Meru amejiondoa kwenye kesi ya Mshukiwa Morris Mwika Gitonga Ambaye ameshtakiwa kwa kumchoma kwa majimoto Msichana wa miaka 15 mwezi mmoja uliopita.