- 17,770 viewsDuration: 2:09Hali tete ilishuhudiwa leo kaunti ya Baringo, wafuasi wa mwenyekiti wa chama cha KANU Gideon Moi wakiandaa maandamano, baada ya Moi kujiondoa kwenye kinyang’anyiro cha useneta wa kaunti hiyo. Hatua ya Gideon Moi, imejiri saa chache tu baada ya mkutano wake na Rais William Ruto katika ikulu ya Nairobi jumatano