Hali ya huzuni ilitanda katika soko la Tombo baada ya mwizi kupigwa hadi kufa kwa wizi wa kuku

  • | NTV Video
    122 views

    Hali ya huzuni imetanda katika eneo la silungai kaunti ya Bungoma baada ya mtu mmoja anayedaiwa kuwa mhalifu kupigwa hadi kufa na wakaazi waliojawa na ghadhabu katika soko la tombo, malava baada ya kutuhumiwa kwa wizi wa kuku.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya