Hatimaye wabunge watupa nje mswada wa fedha 2024

  • | KBC Video
    112 views

    Mswada tata wa fedha wa mwaka 2024 uliozua maandamano barabarani sasa umezikwa katika kaburi ya sahau. Bunge la taifa leo alasiri lilipiga kura kuutupilia mbali mswada huo kuambatana na pendekezo la rais kwenye ilani kwamba vifungu vyote vifutiliwe mbali.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive