Maandalizi ya uchaguzi wa chama cha wahudumu boda boda huko Kitengela yameshika kasi huku ushindani mkali ukitarajiwa. Uchaguzi huo umevutia wagombeaji 9 kwa nafasi ya mwenyekiti, huku wasiwasi ukiibuka kutokana na vurugu zilizoshuhudiwa wakati wa uchaguzi wa awali.Kulingana na kamati andalizi, hatua zaidi zimewekwa ili kuhakikisha uchaguzi huru, wa haki na unaozingatia taratibu. Ni wanachama waliojiandikisha tu wataokaoruhusiwa kupiga kura, huku kuwasilisha kitambulisho kukiwa hitaji la lazima, tofauti na uchaguzi wa awali ambapo kila muhudumu wa boda boda alipiga kura bora alikuwa amevalia magwanda wa mhudumu wa bodabod
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#KBCchannel1 #Kenya #News