HAZINA YA ELIMU MAKUENI

  • | Citizen TV
    91 views

    Serikali ya Makueni imetenga takriban shilingi milioni 114.9 za kufadhili wanafunzi wanaotoka katika jamii maskini mwaka huu.

    Akizungumza wakati wa kuzindua ufadhili huo waziri wa elimu wa Makueni Elizabeth Muli amesema wanafunzi walio na ulemavu watapewa kipaumbele kwenye mpango huo . maafisa wa serikali ya kaunti wa nyanjani wametakiwa kuhakikisha kuwa zoezi hilo litakuwa la uwazi.