Hofu ya Usalama Baringo

  • | Citizen TV
    153 views

    Huku hali ya taharuki ikiendelea kutanda katika maeneo kadhaa ya Kaunti ya Baringo kufuatia mashambulizi ya majambazi, washikadau wa elimu wametoa wito kwa serikali kuimarisha usalama kabla ya kufunguliwa kwa shule wiki hii.