- 9,796 viewsVOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Hofu ya vita yatanda Mashariki ya Kati | VOA Swahili
- 22 Nov 2024 - President William Ruto has appointed former Chief of Defence Forces General (Rtd) Robert Kibochi as the new Chairperson of the Board of Directors for Mwai Kibaki Referral Hospital.
- 22 Nov 2024 - The Sambaza Furaha na Safaricom caravan has crossed into Tharaka Nithi County, after successful tours of Murang'a, Nyeri, Laikipia, and Meru counties.
- 22 Nov 2024 - Residents of Tiaty constituency in Baringo County have been granted relief with the opening of a new Civil Registration Services (CRS) office at Chemolingot shopping centre.
- 22 Nov 2024 - The Pharmacy and Poisons Board (PPB) has issued a recall for Efinox nasal drops following a labelling and packaging error affecting two specific batches: Efinox 1% w/v (Batch No. 82979) and Efinox 0.5% w/v (Batch No. 82978).
- 22 Nov 2024 - The Ministry of Education has recorded 621 examination malpractices at the conclusion of the 2024 Kenya Certificate of Secondary Education.
- 22 Nov 2024 - Uganda's Minister for ICT Chris Baryomunsi has alleged that the Kenyan government was in touch with the Ugandan administration in order to facilitate the arrest of official opposition leader Kizza Besigye in Nairobi.
- 22 Nov 2024 - The Ministry has sought to prevent any impending crisis that might be caused by use of the two drugs.
- 22 Nov 2024 - South Sudan's President Salva Kiir held an urgent meeting of top security brass on Friday after a shootout at the home of powerful former spy chief Akol Koor, who was sacked almost two months ago amid rumours of a coup plot.
- 22 Nov 2024 - The government on Friday set the record straight regarding Adani Group's involvement in SHA.
- 22 Nov 2024 - Freeman Mbowe, was detained by police on Friday, his Chadema party said, after officers dispersed an opposition rally with tear gas just days before local elections.