'Hope For Cancer Kids' yachangisha fedha kufungua kituo cha watoto

  • | NTV Video
    20 views

    Shirika la kuhudumia watoto walioathirika na ugonjwa wa saratani la "Hope For Cancer Kids," liliandaa hafla ya kuchangisha fedha hapo jana katika hoteli moja, hapa jijini Nairobi, kwa lengo la kuliwezesha kufungua kituo cha watoto walioathirika na ugonjwa huo kupata makazi bora, matibabu na msaada unaohitajika.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya