Hospitali ya kina mama Nyamira

  • | Citizen TV
    78 views

    Serikali ya nchi ya Finland imeipokeza rasmi serikali ya kaunti ya Nyamira hospitali ya kina mama kujifungua katika eneo la Ekerenyo, Nyamira Kaskazini.