Huenda ada za huduma mjini Eldoret zikaongezeka

  • | KBC Video
    19 views

    Wakazi wa mji wa Eldoret walifurahia kupandishwa hadhi kwa muji huo kuwa jiji.Lakini mbali na shamra shamra hizo, ni lipi lililo muhimu kwa hadhi ya jiji.Mwanahabari wetu Giverson Maina alitafuta maoni ya mtaalam wa mipango ya miji na wakazi wengine kuhusu suala hilo na kugundua kwamba huku wakazi wa majiji wakifurahia huduma bora na miundo msingi ya kijamiki jinsi ilivyo kama vile jijini Nairobi, huduma hizo na miundo msingi zinafadhiliwa kwa kuongeza ushuru na kodi zingine ambazo sharti walipie.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive