- 27,706 viewsDuration: 8:10Amnesty International ina wasiwasi mkubwa kwamba Humphrey Polepole huenda alitoweka kwa nguvu na pengine kushambuliwa. Serikali ya Tanzania haina budi kuweka kila juhudi kumtafuta na kumrejesha mahali salama. #bbcswahili #tanzania #humphreypolepole Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw