Skip to main content
Skip to main content

Ibrahim Ndung’u wa Klabu ya Bamburi amefanya historia Kenya katika mashindano ya IPSC

  • | KTN News
    59 views
    Duration: 1:05
    #ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews 🔴 LIVE: KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond. Mlengaaji shabaaha nambari moja nchini Kenya, Ibrahim Ndung’u, ameandika historia kwa kuwa Mkenya wa kwanza kupandishwa hadi kiwango cha A katika mashindano ya IPSC (International Practical Shooting Confederation). Ndung’u, ambaye ni sehemu ya Klabu ya Bamburi, alitimiza mafanikio haya katika mashindano ya dunia yaliyofanyika mjini Matlosana, Afrika Kusini. Aliongoza miongoni mwa wakenya, akishika nafasi ya 5 barani Afrika na nafasi ya 59 duniani kati ya walengaji 420 walioshiriki kwenye kitengo cha Production. Mashindano hayo yalikusanya walengaji 1,800 kutoka mataifa 76, na Kenya iliwakilishwa kwa fahari. Mafanikio haya yanathibitisha ukuaji wa walengaji wa kitaifa na kuipa Kenya heshima katika mashindano ya kimataifa. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ktnnewskenya Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews