- 35 viewsDuration: 2:21Idara ya kushughulikia maslahi ya watoto imezindua mpango wa lishe shuleni unaonuia kuimarisha idadi ya wanafunzi wanaohudhuria shule katika shule za upili za umma katika kaunti ndogo za Elgeyo Marakwet. Hatua hiyo ilichochewa na kuongezeka kwa visa vya mimba za mapema na umaskini unaotishia kuwanyima elimu watoto wa kike . Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive