Fikra za jadi za Kichina I Kijito kinaweza kuwa safi namna hii

  • | KBC Video
    39 views

    Fikra za jadi za Kichina zimejengwa juu ya misingi ya maadili, falsafa, na maisha ya kijamii. Zhu Xi alikuwa mwanafalsafa wa Enzi ya Song na hadithi yake imefuatiliwa na Giray Fidan, msomi kutoka Uturuki ambaye anaeleza jinsi falsafa yake imeendelea kuwa na athari chanya kwenye uongozi na maendeleo ya wat wa China mpaka leo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News