Ifahamu China: Panda Fu-Bao arejea nyumbani

  • | KBC Video
    5 views

    Katika makala yetu ya ifahamu China tunaangazia Panda aliyepewa jina Fu Bao, ambaye ni panda mkubwa wa kwanza kuzaliwa nchini Korea Kusini. Fu Bao amezoea mazingira mapya baada ya kurejeshwa katika Mkoa wa Sichuan, kusini-magharibi mwa China, mji wa asili wa panda. Tazama

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive