Kampuni za roboti nchini China, kama ile ya Hubei Optics, zinaongoza sekta ya ufanyaji kazi za nyumbani kiotomatiki. Roboti zao kwa jina Lumen sasa zina uwezo wa kukunja nguo, kutandika vitanda na kuandaa vinywaji, huku pia zikipata matumizi mapya katika huduma za wazee. Maelezo zaidi katika Makala ya ifahamu China.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#KBCchannel1 #Kenya #News