Ifahamu China: Umiliki Wa Nyumba

  • | KBC Video
    4 views

    Katika Makala yetu ya ifahamu china tunaangazia tangazo la serikali ya China kuhusu kupunguzwa kwa kiwango cha riba ya mikopo ya nyumba, hatua inayotarajiwa kunufaisha takriban wamiliki wa nyumba milioni 150 kote nchini humo. Hatua hii inalenga kupunguza mzigo wa kifedha kwa familia nyingi zinazomiliki nyumba na kupiga jeki ukuaji wa sekta ya makazi. Tazama

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive