Skip to main content
Skip to main content

Ifahamu China: Upandaji Miti

  • | KBC Video
    21 views
    Duration: 3:50
    Katika Makala yetu ya Ifahamu China tunaangazia Mradi mkubwa wa upanzi wa miti na urejeshaji wa ikolojia mjini Lhasa, Mkoa wa Xizang ambao umegeuza milima iliyokuwa kame kuwa mandhari ya kijani. Hatua hii imeimarisha mazingira na kuleta manufaa ya kiuchumi kwa wakazi wa eneo hilo.Tazama Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive