Skip to main content
Skip to main content

Ifahamu China: Utalii Hainan

  • | KBC Video
    29 views
    Duration: 3:17
    Kisiwa cha Hainan, kilichoko kusini mwa China, kimewavutia watalii wengi zaidi baada ya kupanuaorodha ya bidhaa zisizotozwa ushuru na kulegeza masharti ya ununuzi kwa wakazi wake. Hatua hizi ni sehemu ya mkakati wa kuimarisha uchumi wa eneo hilo na kukibadilisha kisiwa cha Hainan kuwa kitovu kikuu cha utalii na biashara ya kimataifa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Kenya #News