Infotrak Yaema Kiwango Cha Utendakazi Wa Ugatuzi Kimeshuka Hadi 65% Kutoka 70%

  • | TV 47
    23 views

    Infotrak Yaema Kiwango Cha Utendakazi Wa Ugatuzi Kimeshuka Hadi 65% Kutoka 70%

    Katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita, kiwango cha utendakazi wa ugatuzi nchini kimeshuka hadi asilimia 65, kutoka asilimia 70 mwaka 2023 kufuatia kile kilichotajwa kuwa kuongezeka kwa ufisadi kulingana na utafiti uliofanywa na Infotrak.

    #UpeoWaTV47 #UkumbiWaSiasa

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __