Inspekta mkuu mteule Douglas Kanja asailiwa

  • | Citizen TV
    6,147 views

    Kaimu Inspekta jenerali wa polisi douglas kanja ameiambia kamati ya bunge inahomhoji kuchukua wadhifa huo kwamba atalainisha idaraya polisi akiidhinishwa. kanja amesema kuwa maafisa wa polisi wanaovunja sheria ni sharti wachukuliwe jhatua za kisheria. Kanja alikuwa akijibu swali la ukatili wa polisi dhidi ya waandamanaji