IPOA yachunguza mauaji ya watu wawili katika eneo la Suswa kaunti ya Narok

  • | Citizen TV
    344 views

    Halamshauri ya kutathmini utendakazi wa polisi IPOA sasa inasema inachunguza kwa kina mauaji ya watu wawili katika eneo la Suswa kaunti ya Narok.