Skip to main content
Skip to main content

Isiolo yajivunia kituo kipya cha amri cha usalama

  • | KTN News
    134 views
    Duration: 1:51
    #ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – Wakazi wa Kaunti ya Isiolo sasa wanaweza kuripoti uhalifu na dharura bila malipo kufuatia uzinduzi wa nambari mpya ya dharura isiyolipishwa. Hatua hiyo imeambatana na kuzinduliwa kwa kituo kipya cha pamoja cha amri, kilichojengwa kwa ushirikiano kati ya polisi na Shirika la Regional Pastoralist Peace Link. Hatua hii inalenga kuimarisha usalama na kuhakikisha huduma za dharura zinapatikana kwa haraka zaidi kwa wananchi wa Isiolo. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ktnnewskenya Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews