Jaji Byram Ongaya awaongeza muda madaktari na serikali kuelewana

  • | Citizen TV
    556 views

    Jaji Byram Ongaya wa mahakama ya leba amaeupa muungano wa madaktari, serikali ya kaunti na ile ya kitaifa siku 2 zaidi ili kuhitimisha mazungumzo yao na kutia saini mkataba wa kurejea kazini kabla ya kesi hiyo kusikizwa tena jumanne tarehe nane saa nane na nusu adhuhuri.