Jay Melody; Nyota wa Afrika Mashariki anayetamba kwa tungo za mapenzi

  • | BBC Swahili
    4,904 views
    'Macho na lips zake...Yani kama nimeokota dodo chini ya mpera, na siambiliki hata kidogo...'🎶🎶 Tungo za mapenzi zina soko zaidi - - Ungana na Nyota wa Afrika Mashariki Jay Malody @realjaymelody akizungumza na @rmziwanda_official kuhusu kisa kilichomfanya kuacha kuandika tungo za muziki kwa ajili ya wanamuziki wengine na kuamua kuimba mwenyewe Youtube BBC Swahili #bbcswahili #burudani #nyotawaafrikamashariki #tanzania #kenya #bongofleva