Ugonjwa wa saratani wasalia kuwa chanzo cha tatu kikubwa cha vifo nchini Kenya

  • | KBC Video
    13 views

    Angalau visa vipya elfu 44 vya ugonjwa wa saratani huripotiwa nchini kila mwaka na kuibua wasiwasi kuhusu namna ya kukabiliana na mzigo wa ugonjwa huo wa saratani nchini.Afisa Mkuu Mtendaji wa Taasisi ya Kitaifa ya kushughulikia ugonjwa wa Saratani nchini Dkt Elias Melly anafichua kuwa angalau asilimia 65 ya wagonjwa wa saratani huaga dunia kila mwaka, hali ambayo inahitaji mbinu mwafaka za udhibiti kutoka sekta mbalimbali.Na kama anavyoripoti Wycliffe Oketch ugonjwa wa saratani unasalia kuwa chanzo cha tatu kikubwa cha vifo nchini Kenya baada ya maradhi ya kuambukizana na yale ya moyo

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News