Jaji Mkuu Martha Koome Kuungana Na EACC Na Ufisadi Kotini

  • | TV 47
    264 views

    Jaji Mkuu Martha Koome Kuungana Na EACC Na Ufisadi Kotini

    Jaji Mkuu Martha Koome amethibitisha kuwa idara ya mahakama itashirikiana na tume ya kupambana na ufisadi nchini EACC na Huduma Ya Polisi Ya Kitaifa kupambana na madalali wanaojadiliana kupokea hongo kwa niaba ya majaji na mahakimu au wale majaji/mahakimu wanaojihusisha na kutoa hongo

    #UpeoWaTV47

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __