Jamaa na marafiki wajumuika kwa ibada ya wafu ya Judy Thongori Nairobi

  • | Citizen TV
    371 views

    Jamaa na marafiki wa marehemu wakili Judy Wanjeri Thongori aliyefariki wiki jana wamemkumbuka kama mtu aliyetetea haki nchini haswa kuhusiana na masuala ya familia na haki za kina mama