Jamii ya Ilchamus yaandaa matambiko ya aina yake maarufu kama 'Il muget'

  • | Citizen TV
    206 views

    Jamii ya Ilchamus iliandaa matambiko ya aina yake maarufu kama Il muget, ambayo hufanyika kila baada ya miaka kumi. Matambiko hayo ni sherehe za kuzindua kundi jipya la mashujaa wa jamii hiyo na huwahusisha vijana waliopashwa tohara na wazee kufanya maombi maalum. Na kama anavyoarifu laura Otieno sherehe hizo zinalenga kuendeleza tamaduni za jamii ya Il Chamus ambao mara nyingi hudhaniwa kuwa jamii ya Maasai.