Wanawake wa Ki-Hindu wakutana hekaluni BAPS Swaminarayan

  • | KBC Video
    4 views

    Kina mama waumini kutoka jamii ya Wa-Hindu kote nchini walikusanyika katika hekalu la BAPS Swaminarayan jijini Nairobi kuadhimisha miaka-25 tangu kuanzishwa kwa hekalu hilo. Maadhimisho hayo ni hatua muhimu kwenye safari ya jamii hiyo ya kujitolea kuroho na kwenye huduma.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive