Jamii ya Maasai huthamini mbinu ya kitamaduni

  • | Citizen TV
    208 views

    Jamii ya Maasai imekuwa ikitegemea mbinu ya kitamaduni kubashiri hali ya hewa ambapo wazee wa jamii hiyo humchinja mbuzi na kisha kusoma matumbo yake na kubashiri iwapo kiangazi ama mvua