Jamii ya Oromo yajumuika kutoa shukrani na kuhimiza Wakenya kutovuruga udhabiti wa nchi

  • | KBC Video
    5 views

    Wasomi na viongozi wa kidini kutoka jamii ya Oromo wametoa wito kwa Wakenya kudumisha amani na kujiepusha vitendo ambavyo huenda vikatatiza udhabiti wa nchi hii. Viongozi hao waliokukutana jijini Nairobi walisema Kenya imekuwa mfano bora wa demokrasia na wingu la matumaini ambavyo havipaswi kuchukuliwa kwa mzaha.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News