JAMII YACHANGIA ELIMU KAJIADO

  • | Citizen TV
    214 views

    Kama Njia moja ya Kuhakikisha kuwa hakuna mwanafunzi ambaye atasalia nyumbani wiki ijayo wakati shule zitafunguliwa kwa muhula wa kwanza, wakazi wa eneo a Ilkiloriti kaunti ya Kajiado wamechanga shilingi laki nane kuwalipia karo wanafunzi kutoka jamii ziziojiweza Katika eneo hilo.