Jamii za wabajuni na waluo zaafikia amani

  • | Citizen TV
    918 views

    Baadhi ya viongozi wa kijamii mjini Malindi kaunti ya Kilifi wameitaka tume ya Uwiano na Utangamano (NCIC) kutatua mzozo baina ya jamii za waBajuni na waLuo mjini humo hasa baada ya mwanaume mmoja kuuwawa kwa kupigwa risasi siku kadhaa zilizopita.