Jamii za wafugaji Kenya na Uganda zahimizwa kusitisha mizozo

  • | NTV Video
    66 views

    Jamii za wafugaji kutoka Turkana, Kenya na Kaabong, Kotido huko Uganda zimehimizwa kusitisha mizozo na kushirikiana katika matumizi ya raslimali chache kama maji na lishe ya mifugo.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya