Jamii zinazoishi katika eneo la Kuruwitu Kilifi, zimechukua hatua za kuhifadhi matumbawe baharini

  • | Citizen TV
    836 views

    Asilimia 82 ya miamba ya matumbawe pwani ya kenya imeharibiwa. Mabadiliko ya tabianchi na uvuvi kupita kiasi zinazidi kuhatarisha uhai wa matumbawe na viumbe vya baharini. Jamii zinazoishi katika eneo la kuruwitu, kaunti ya Kilifi, zimechukua hatua za kuhifadhi matumbawe na viumbe wa baharini mwaka mmoja baada ya mfalme charles wa tatu kutembelea hifadhi hiyo