Jamil Longton , Aslam Longton na Bob Njagi wapatikana

  • | Citizen TV
    2,113 views

    Ndugu wawili na mwanaharakati mmoja ambao walitoweka mwezi uliopita baada ya madai ya kutekwa nyara na polisi wamepatikana katika kaunti ya Kiambu.