Wakulima wanaosambaza majani chai waandamana dhidi ya punguziko kwa bonasi ya chai

  • | Citizen TV
    260 views

    Wakulima wanaosambaza majani chai kwenye kiwanda cha KTDA Kaptumo kaunti ya Nandi ,wameandamana kulalamikia kupunguzwa kwa bonasi ya chai.